For Sale
Nyumba inauzwa chanika
Dar es Salaam, IlalaTZS 45,000,000
About Property
Nyumba inauzuwa ipo chanika inaviumba vi3 nasebule nyumba nimpiya maji yapo umeme upo bei alobaini natano maongenzi kidoogo sana yapo ipo chanika nzingi ziwa
Timothy Francis
Dar es Salaam, Ilala