For Sale
Nyumba inauzwa chamazi karibuni
Dar es Salaam, TemekeTZS 45,000,000
About Property
Nyumba inauzwa ipo mkoa dalesalama wilaya temeke mbagala chamanzi inaviumba vi3 nasebule nyumba nimpiya maji yapo umeme upo bei milioni alobaini natano maongenzi kidoogo sana yapo karibuni saaana usiogope mpenduwa njoo uinuuuwe nyumba
Timothy Francis
Dar es Salaam, Temeke