For Sale
Nyumba inauzuwa chanika
Dar es Salaam, IlalaTZS 35,000,000
About Property
Nyumba inauzwa ipo chanika mwisho inaviumba vi3 nasebule sebule nyumba nimpiya kabisaa kamaunavoiona mtejawangu majiyapo umemeupo nyumba nizuli mno
Timothy Francis
Dar es Salaam, Ilala