For Sale
Nyumba inauzwa chanika inaviumba vi3 nasebule
Dar es Salaam, IlalaTZS 55,000,000
About Property
Nyumba inauzwa ipo chanika mwisho inaviumba vi3 nasebule nyumba nimpiya maji yapo umeme upo bei milioni 55,000,000 maongenzi kidoogo yapo
Timothy Francis
Dar es Salaam, Ilala